Details
Description
Hii ni nyumba nzuri,. Ipo mtaa tulivu. Eneo ni VIWEGE, MAJOHE. Vyumba 4 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Pia Ina Duka moja. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________msk