31.01.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 5, KWAZOO CHANIKA

TZS 40 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
300 m2

Description

Nyumba nzuri. yenye jumla ya vyumba vitano (5) vya kulala, ikiwa na Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Inauzwa CHANIKA KWAZOO/ILALA. Hapa unapangda Gari moja tu kufika Mjini. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu . _________mskv

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam