Details
Description
Hapa ni KINYEREZI MWISHO. Kuna vyumba vitano (5) na Fremu za Maduka 2. Vyumba na Maduka vyote VIMEPANGISHWA. Makusanyo ya KODI kwa mwezi ni Tshs.400,000/ Mwezi. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ________mskv