Details
Description
Hii ni nyumba nzuri yenye vyumba kulala 5. Pia Ina Banda la Chumba na Sebule. Hii nyumba ipo BANGULO, KINYEREZI. Vilevile kuna Kisima na Banda la kufugia Kuku. Parking ya Gari ndani ya Fensi pia ipo. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mpg