28.01.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 4 YAKISASA, PUGU

TZS 130 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
460 m2

Description

Hii ni nyumba mpya ya kisasa, imara, inayovutia na YAKUHAMIA. Ipo PUGU-KWA-RAHISI/ILALA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 460. KIMEPIMWA (Vigingi vya Wizara vipo) Vyumba 4 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ni Safi na ya hadhi nzuri hivyo wahi usije kujutia. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam