Details
Description
Nyumba nzuri ya kisasa. Ina jumla ya vyumba 4 vya kulala. Ipo MOSHI-BAR UKONGA. Nyumba ni YAKUHAMIA. Ina ACs, Parking kubwa yenye Paving na ni ya KUHAMIA. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskv