Details
Description
Hii nyumba ipo MBAGALA-KINGUGI. Ni wastani wa kilomita 3 tu kutoka Zakhiem Uelekeobwa nyuma ya DARLIVE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ipo Dhani ya Fensi na kuna Fremu moja ya Biashara. Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani) Pja kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Parking yakutosha na Kuna KISIMA cha Maji. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Ukitaka kukagua taarifa mapema pls. ___rrc