Details
Description
Nyumba ya vyumba 4 ( Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Eneo ni MLAMLENI, KONGOWE-MBAGALA. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg