Details
Description
Nyumba nzuri ya pekeyake kwenye Kiwanja chenye ukubwa wa SQM.650 na ambacho umiliki wake ni MKATABA WA MAUZIANO. Eneo ni KIVULE-CCM, UKONGA. Nyumba imejengwa kisasa. Vyumba 4 (2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________Ouk Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.