21.02.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 4, GOLANI

TZS 65 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
400 m2

Description

Nyumba nzuri yenye jumla ya vyumba vinne (4) vya kulala inauzwa. Ipo KIMARA GOLANI/SUCA. Umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 40P. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 4 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam