Details
Description
Nyumba nzuri yenye jumla ya vyumba vinne (4) vya kulala ambapo kimoja ni Masta, Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ipo ndani ya Fensi nzuri yenye Paving. Eneo ni MBAGALA CHAMAZI-MIKUMI Huduma ya Umeme ipo na pia hapa kuna Kksima. _______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______r Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.