05.02.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 3, PUGU SHULE

TZS 60 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
460 m2

Description

Hii nyumba imepunguzwa Bei. Ipo PUGU SHULE/ILALA. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 460. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam