Details
Description
Hii ni nyumba nzuri yenye vyumba vitatu (3) Eneo ni KITUNDA/KIVULE KWAMPEMBA. Daladala moja hadi Mjini. Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ndanj ya Fensi/Geti. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.