14.04.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 3, KITUNDA MACHIMBO

TZS 28 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
380 m2

Description

Nyumba yenye vyumba 3 (Masta 1) Pia Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ipo KITUNDA KIVULE. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 380. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam