17.04.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 3,KINYEREZI-KIBAGA

TZS 165 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
400 m2

Description

Nyumba nzuri ya kisasa. Ipo KINYEREZI KIBAGA. Wastani is mita 500 tu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400. KIMEPIMWA (Hati bado) Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam