24.01.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 3, KIBANDACHA MKAA

TZS 40 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
500 m2

Description

Hii nyumba ipo umbali kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro. Eneo ni MBEZI KIBANDA CHA MKAA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ujenzi wa kisasa. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia. Parking ipo. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam