10.04.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 3, GOBA NJIA NNE

TZS 99 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
400 m2

Description

Hii nyumba ni ya kisasa na inahitaji maboresho madogo hasa rangi nje. Ipo umbali wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Kuna vyumba 3 (Kila Chumba na Choo chake ndani) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. ______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ______jj Kukagua taarifa mapema.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam