20.02.2025Dar es Salaam

YA VYUMBA 3, FREMUKUMI

TZS 18 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
400 m2

Description

Hii nyumba inahitaji umaliziaji wa mwisho. Ipo KIVULE FREMUKUMI. Vyumba 3(Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______mskv

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam