Details
Description
Nyumba nzuri ndani ya Fensi. Eneo no KIVULE/KITUNDA, FREMU KUMI. Ni jirani na Kituo cha Daladala. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ina KISIMA CHA MAJI YA CHINI. Na Parking ipo ya kutosha na ambayo ina Paving. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ___________mskv