07.02.2025Dar es Salaam

YA VYUMA VIWILI MSONGOLA

TZS 25 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
460 m2

Description

Nyumba nzuri yenye vyumba viwili (2) katika Kiwanja chenye ukubwa wa SQM 460. Eneo ni KIVULE-MSONGOLA. Vyumba 2 ( Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam