Details
Description
Hii ni nyumba nzuri YAKUHAMIA. Ipo upande wa juu MBEZI/BEACH-AFRIKANA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,010. Umiliki ni HATI (Title Deed)ya Wizara. Vyumba vinne(4) vya kulala. Sebule, Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ina nafasi. Tiles, Gypsum,Dirisha za Vioo, Parking ina Paving, AC nk. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________zw