27.01.2025Dar es Salaam

YA ROOM 3, NA MABANDA 6 MBANDE

TZS 43 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
900 m2

Description

Hii nyumba INAUZWA NA BANK. Ipo MBANDE, Jirani na Shule ya Msingi Mbande au SINBAD. Inauzwa pamoja na Mabanda 6 (Kila Banda lina Vyumba 2) ambayo yapo ndani ya Kiwanja hichohicho kimoja na ambacho kina ukubwa wa SQM. 900. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba kunwa ni ya kisasa. vyumba 3(Masta 1) Pia Sebule, Jiko na Choo. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (UnalipaweweMnunuziTAFADHALI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam