15.03.2025Dar es Salaam

YA ROOM 3, GOBA-MUUNGANO

TZS 75 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
500 m2

Description

Kiwanja cha hii nyumba KIMEPIMWA. (HATI HAIJATOKA BADO) Ukubwa ni SQM. 500. Eneo ni GOBA MUUNGANO/KULANGWA. NJIA NNE KUELEKEA MADALE. Imejengwa kisasa. Vyumba 3 vya kulala (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ipo ndani ya Fensi, Parking yakutosha na kuna ACs. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam