12.02.2025Dar es Salaam

YA ROOM 3, FREM 2 MKOLEMBA

TZS 66 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
600 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri yenye jumla ya vyumba vya kulala vitatu(3) ambapo Masta ni Moja. Pia Ina Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile ina Fremu 2 za Biashara. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Eneo ni KITUNDA MKOLEMBA /KWAMBINDE. Wahi usije kuikosa Mdau wangu. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____mskv

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam