23.02.2025Dar es Salaam

YA ROOM 2/FREMU 2 MONGOLANDEGE

TZS 38 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
1 m2

Description

Kufika hapa kuna njia tatu: Unaweza kupitia KINYEREZI,BANANA au GONGOLAMBOTO. Nyumba ina vyumba vya kulala 2. Na pia kuna Fremu/Maduka ya Biashara matatu (3) Nyumba ina Wapangaji na Maduka yana Wapangaji. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam