Details
Description
Mjengo wa kisasa ( CONTEMPORARY) Ipo MBOPO JUU. Ambapo unaingilia MADALE MWISHO. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ni ya kisasa na ipo ndani ya Fensi. Pia ndani kuna Banda la Chumba kimoja. Unaweza kujenga nyumba nyingi hata 3 ndani ya Kiwanja hichohicho. Mtaa umejengeka vizuri. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg