Details
Description
Hii sasa ni Bei ya kuokota. Tunauza kutokana na DHARULA. Nyumba nzuri ya kisasa YAKUHAMIA. Vyumba 4 ( Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 974 Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Pia Ina nyumba ndogo ya Uwani yenye Chumba kimoja. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tuwasiliane iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______mskv Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadh