Details
Description
Kiwanja kinaangalia Barabara ya Lami. Hapa panafaa kuweka nyumba ya Biashara. Iliyopo ni nyumba ya kizamani yenye vyumba vitatu. INAUZWA NA BANK NA IPO KUNDUCHI MBUYUNI. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________jj