29.01.2025Dar es Salaam

SI YA KUKOSA HII YA BANK MSUMI

TZS 75 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
800 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri ya kisasa, imara na ya kuvutia. NI YA KUHAMIA. Ipo MSUMI. INAUZWA NA BANK KWA RIDHAA YA MMILIKI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 vikubwa (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Finishing yake ni Tamu hadi kujilamba. Wahi Mdau ujichukulie HUTAJUTIA. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) _________mpdg Kuona tuwasiliane mapema.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam