Details
Description
Majengo matatu: Moja ni nyumba kubwa yenye vyumbe 3. Mawili ni Majengo madogo(Vyumba 2, 1) Jumla kuna Vyumba 6, Vinavyotumika kama Madarasa ya SHULE YA AWALI. Eneo lipo KIBAHA KWA-MATHIAS/MSANGANI. Njia ni nzuri kufika huko. Usafiri wa Bajaj na Boda upo muda wote. Kiwanja kina ukubwa SQM.530. PAMEPIMWA (Hati bado haijatoka) Unaweza kuendeleza Shule ama kubadili Matumizi kulingana na Matakwa yako. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50, (Unalipa wewe MNUNUZI) ____mpg