Details
Description
INAUZA BANK KWA IDHINI YA MMILIKI. Hili ni SHAMBA la ukubwa wa Ekari 2.6 (Eka Mbili Nukta Sita) Lenye jumla ya Miembe 150. Miti ya Mbao/MITIKI 600 Na nyumba ya kisasa ya vyumba 3, kuboresha ujenzi. Umbali ni kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo. Eneo ni KEREGE. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________jj