Details
Description
Pagale ambalo limeishia ujenzi kwenye hatua ya Linta. Linauzwa Mbezi kwa Msuguri. Lipo umbali wa kilomita mbili tu kutoka Barabara ya Morogoro. Ni la vyumba 3 (Masta 1) Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe Mnunuzi) ________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.