13.04.2025Pwani

PAGALE VYUMBA 3,MSUFINI KIBAHA

TZS 10 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
600 m2

Description

Hili PAGALE ni la karibuni. Limeishia hatua ya ujenzi ya Linta. Lipo umbalivwa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Pwani