09.12.2024Dar es Salaam

PAGALE VYUMBA 2, GOBA MPAKANI

TZS 18 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
380 m2

Description

Hili Pagale lipo eneo la GOBA MPAKANI/TEGETA-A. Vyumba 2 (Vyote Vyoo ndani) Sebule, Jiko Choo cha Familia. Kiwanja kina kina ukubwa wa SQM. 380. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Milango na Grili tayari zipo. Ukiwa mbishi unahamia hivyohivyo. ACHA KUJISHAURI SANA JIKOMBOE UWE NA KWAKO PASI NA KUUMIZA KICHWA. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuikagua ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _____mpg Nipange Mapema kwa kuikagua

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam