Details
Description
Hii ni nyumba ambayo imeishia kwenye hatua ya LINTA katika ujenzi. Imejengwa kisasa, Inajitegemea na ina jumla ya vyumba vitatu (3) vya kulala ambapo kimooja ni Masta pia ina Sebule,Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg