Details
Description
Hili ni Pagale lenye vyumba vitatu (3) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 803. KIMEPIMWA. Eneo ni BOKOTIMIZA, TUMBI KIBAHA. Nauli ni Tshs.2,000 tu kutoka MBEZI, MAGUFULI TERMINAL. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg