23.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Pagale linauzwa lipo Tuangoma Dar es salaam

TZS 27 000 000

Description

Pagale lina vyumba vi3 kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet, pagale bado kuezeka tu mwenyewe kakwama kimfaacho mtu chake njoo ukague garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=

Mpanga

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam