Description
Pagale lipo Malamba mawili Dar es salaam, linavyumba vi3, kimoja master bedroom kuna setting room, dining room, kitchen, store public toilet, eneo lake ni sqm 600 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, njoo ukague garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=