Details
Description
Nyumba nzuri iliyojengwa maalum kwaajili ya kuendesha Biashara ya LODGE. Haijakamilika Ujenzi. (Inahitaji Finishing) Ipo KWEMBE. Jumla ina vyumba vya kulala 17 ambapo kila Chumba kina Choo chake ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.