Details
Description
Hapa ni YOMBO VITUKA. Na hili eneo linaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa. Panafaa kuboresha au kuweka Jengo jipya la kisasa la Biashara hasa Maduka pamoja na Makazi. Ukubwa ni SQM. 400. Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. Kwa sasa ipo Nyumba ya Kizamani yenye jumla ya vyumba 9 pamoja na Fremù za Maduka 5. ______ Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _____jj Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.