Details
Description
1. Nyumba inauzwa Temeke Maduka Mawili. Ukubwa wa Eneo: Sqm 496. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Milioni 250. Mazungumzo yanaruhusiwa. 2. Nyumba inauzwa Temeke Karibu na Shule ya Yemen. Ukubwa wa Eneo: Sqm 548. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Milioni 400. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika. Mawasiliano 0784 829565 0767 833345 @prathlimited