Details
Description
Nyumba nzuri ya kisasa. Ipo PUGU, KICHANGANI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ujenzi wa kisasa: Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________tp Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.