25.06.2025Dar es Salaam

NYUMBA YENYE NAFASI,KWASUGUYE

TZS 75 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
1050 m2

Description

Nyumba nzuri na ina nafasi. Vyumba 3 ( Masta 1) Sebule,Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ipo KITUNDA/KIVULE (KWA SUGUYE/MATEMBELE YA PILI) Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,050. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ndani ya Fensi, Parking kubwa na kuna KISIMA chenye Maji matamu. ____ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam