Description
Nyumba ipo Chanika mwisho inauzwa na bank. Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet,pia kuna servant cotter yenye vchumba na sebule na choo ndani, eneo lake ni sqm 700 documents Title deed ipo.