Details
Description
Hii ni nyumba ya kisasa ya KUHAMIA. Ipo UBUNGO MAKOKA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Ujenzi wa kisasa. Ina vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Pia Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Huduma ya Maji safi na Parking zipo. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.