Details
Description
Nyumba nzuri ya pekeyake na ambayo umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Ipo umbali wa wastani wa kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Kiwanja SQM.1,400. Ni ujenzi wa Kisasa (Contemporary Design) Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mpg Kukagua taarifa mapema tafadhali.