Details
Description
Hi ni nyumba ya kisasa nzuri, safi na YAKUHAMIA. Ipo MADALE FLAMINGO. Wastani wa mita 150 tu kutoka Barabara ya Lami. Vyumba 3 ( 2 Vyoo ndani) Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO. Parking ina Paving na Fensi ni ya Umeme kw usalama. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________jj