Details
Description
Hii nyumba ipo MAFISA, MOROGORO. Inaangalia Barabara ya Mtaa. Ni jirani na Shule ya Msingi . Nyumba kubwa Ina jumla ya vyumba 9 na Uwani pia kuna Banda la vyumba 2 na Sebule. Hapa unaweza kupangisha kama ilivyo au tena kuweka Jengo la kisasa. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________mfs/mr Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.