Description
Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 4 vya kulala stininroom dining room kitchen toilet public mastr bedroom Nyumba umeme upo maji yapo Nyumba full tairizi Nyumba Aipo mbali na Barbara kuu Nyumba ipo vinzuri Nyumba mpya Nyumba ukubwa wa kiwNja sqm 750 Nyumba bei ml 95