Description
MAHALI: KIBUGUMO (GEZA ULOLE) 1. Ukubwa wa kiwanja 679 sqm 2. Umbali: 1.5 km 3. Atakaenunua anapauwa, anatindua maji na umeme. Dirisha zipo bado kupachikwa tu 4. Muundo wa Nyumba: Angalia ramani ya nyumba. Gharama za kupelekwa site elfu 20